Mkuu wa Mkoa wa Mara akiwasili katika shule ya sekondari Sazira. Tarehe 30/11/2021
Ukaguzi shule ya Sekondari Sazira.
Pichani Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Bunda na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda, Shule ya Sekondari Sazira.
Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe. Joshua Nassari akiteta jambo na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Bunda na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda wakati wa ukaguzi shule ya Sekondari Sazira.
Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Bunda na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda wakisikiliza maelekezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Shule ya Sekondari Sazira.
Mkuu wa Mkoa wa Mara Ally Hapi akitoa maelekezo kwa mafundi wanaojenga madarasa ya shule ya Sekondari Sazira.
Mkuu wa Mkoa wa Mara Akiwasili shule ya Sekondari Bunda kukagua ujenzi wa Madarasa.
Mkuu wa Mkoa wa Mara akipokea Taarifa kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Bunda Mwl. Ediga Thobias juu ya ujenzi wa madarasa matatu na Ofisi moja unaondelea sasa.
Mafundi wakiendelea na ujenzi wa madarasa matatu na Ofisi moja wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mara shule ya Sekondari Bunda
Ziara Shule ya Sekondari Bunda
Ziara Shule ya Sekondari Bunda
Mkuu wa Mkoa wa Mara akitoa maelekezo kwa Kamati ya ujenzi wa madarasa shule ya Sekondaari Bunda
Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe. Joshua Nassari akieleza kuyapokea maagizo na maelekezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na kuahidi kuyafanyia kazi.
Mhe. Ally Hapi, Mkuu wa Mkoa wa Mara akitoa maelekezo na ushauri kwa waheshimiwa Madiwani na Watendaji wa Serikali juu ya Miradi ya ujenzi wa madarasa unaoendelea uku akisisitiza Uongozi imara, ushirikiano na ufuatiliaji ili kukimbizana na tarehe ya ukamilishaji uliowekwa Kitaifa.
Mkuu wa Mkoa wa Mara akiwa katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Kuongea na Waheshimiwa Madiwani na Watendaji wa Serikali baada ya ukaguzi wa ujenzi wa madarasa
Viongozi mbalimbali wakati wa kikao cha majumuisho ya ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa Madarasa Wilayani Bunda.
Ukaguzi shule ya Sekondari Sazira
Ukaguzi shule ya Sekondari Bunda
Mkuu wa Mkoa wa Mara na msafara wake wakiondoka shule ya Sekondari Sazira
Mkuu wa Mkoa wa Mara akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Bunda pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda wakati wakiondoka shule ya Sekondari Sazira.
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda